Início › Grupos › YOUNG AFRICANS SC
YOUNG AFRICANS SC Telegram
Canal de Telegram
✈ Canal do Telegram 🌐 Public

Canal do Telegram: YOUNG AFRICANS SC

Abrir ↗
★★★★★ 0.0 (0 ratings)
👁 0 visualizações ↗ 3 participações ★ 0.00 (0)
Sobre esta comunidade canal de telegram
✅JOIN HAPA KUPATA HABARI ZOTE ZA CLUB YA YANGA ✅SHARE LINK NA POST ZETU KADRI UWEZAVYO For Marketing And sales Buy ads: https://telega.io/c/yangaafricansc
Canal do Telegram

Publicações públicas recentes deste canal do Telegram.

3.4K Inscritos
19 May 2026 Publicação mais recente
Clique aqui para buscar as publicações públicas mais recentes do Telegram.
YOUNG AFRICANS SC pinned «Facebook page for sale. Ina 11k followers with monetization. Njoo na offer yako.👊 Biashara 👇 @cowboyki»
Telegram post image
Facebook page for sale. Ina 11k followers with monetization. Njoo na offer yako.👊

Biashara 👇
@cowboyki
Telegram post image
DAY 1 Rayo vallcano win or draw 🔥
Telegram post image
DAY 1

Rayo vallcano

win or draw 🔥
Telegram post image
🔥 KARIBUNI TEAM YA USHINDI 🔥

Kuanzia sasa tunaanza safari ya ushindi pamoja 💪📈
Hapa tunacheza kwa nidhamu, utulivu na malengo ya faida endelevu.

🎯 TARGET YA SIKU:
Odds 1.5 hadi 1.9

Tunachagua michezo yenye nafasi nzuri zaidi ili kujenga faida taratibu bila papara.

✅ Fuata maelekezo kwa umakini
✅ Cheza kwa nidhamu
✅ Simamia bankroll yako vizuri
✅ Epuka tamaa na over stake

Kumbuka:
Faida kubwa huanza na consistency, sio kukurupuka. Wenye subira ndio wanaofika mbali 💯

Wale wote mpo tayari kuanza safari hii pamoja nami, wekeni 🔥🔥🔥
Telegram post image
SIKILIZA hii voice ili KUJIFUNZA kuandika nitqchoka jifunze hapa alafu achia maoni hapo chini.
Telegram post image
Habari za leo members wote WANANCHII 💚💛

Naitwa Maher ni Admin pia, na kuanzia leo nitakuwa mmoja wa wasimamizi wa channel hii.

Ningependa kuwajulisha kuwa lengo la uwepo wangu ni kutoa uchambuzi wa mpira wa miguu pamoja na mikeka yenye odds za wastani (1.5 – 1.9), kwa kutumia takwimu, form ya timu na uchambuzi wa kina.

Mkazo wetu mkubwa ni uwekezaji wa muda mrefu, si matokeo ya siku moja. Hivyo, target yetu ni kujenga faida ya wiki kupitia nidhamu, usimamizi wa mtaji na kuchagua michezo kwa umakini.

Tunakumbusha kuwa katika betting hakuna uhakika wa ushindi wa kila siku, lakini kwa mkakati sahihi na uvumilivu, tunaweza kufikia matokeo mazuri kwa muda mrefu.

Tunaomba ushirikiano wenu wote, maoni yenu na uvumilivu ili tuendelee kuboresha ubora wa uchambuzi wetu ⚽📈
Karibuni sana kwenye safari hii ya kimkakati 🙏🔥..

NB: SIPO HAPA KUWAUZIA MIKEKA ❌ NITATOA UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU FAIDA YA HII KAZI NINAYOKUJA NAYO NA FAIDA ZAKE 🙏
Telegram post image
Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani🔰💪🏽

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Telegram post image
Mapema hivi leo Klabu yetu ilipata mwaliko kutoka Kamisheni ya utalii Zanzibar kutembelea maeneo ya Makumbusho hapa visiwana. Miongoni mwa maeneo tuliyofanikiwa kutembelea ni mahala walipozikwa Sultan wa Zanzibar pamoja na kupata historia zao fupi.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Telegram post image
FT’ Yanga SC 4-0 M/Makumbi

17’ Prince Dube (Assisted by Okello)
34’ Frank Assinki (assisted by Shekhan)
38 Shekhan Khamis
57’ Prince Dube (assisted by Edmund)

Muungano Cup
Telegram post image
Kikosi kazi dhidi ya Muembe Makumbi🔰💪🏽 #muunganocup

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Telegram post image
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #muunganocup
🆚 M/Makumbi
🗓️ 21 April 2026
🏟️ Amaan Complex
⏱️ 01:15 Usiku

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Telegram post image
Canal de Telegram Detalhes
Idioma catalão
Tipo Canal de Telegram
Inscritos 3.4K
Avalie este grupo

Como você avalia esta comunidade?